Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Polisi nchini Uganda [emoji1254] wamelazimika kufyatua risasi hewani na mabomu ya kutoa machozi ilikuzima vurugu katika baadhi ya mitaa ya jiji kuu la Uganda - Kampala.
Wafuasi wa mbunge wa Kyadondo East @bobiwine Bobi Wine wamejitokeza barabarani kushiniza serikali ya Yoweri Museveni imuachie huru Bobi Wine iliatibiwe. Bobi anazuiliwa katika kambi ya jeshi ya Makindye mjini Kampala.
Mkewe Barbie anasema hali yake ya kiafya ni mbaya mno.
 
Nimeona hii nimecheka sana. Wajita nyie kumbe shwaini kabisa aisee. Mnaogopa kutaniwa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bila shaka yalikuwa ni yale mambo yako yaliyokupa uprof (na hapa sizungumzii betting)...We kiboko. Ajabu madenti wanafakamia mbele matirio halafu hakuna hata mmoja anayeleta mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…