Kuna wanawake aisee anaweza kumalizia nyama zote jikoni...
Si wasukuma?
Jamaa baba yake msukuma na mama yake mjita.Hapo mnamkanaje kuwa sio msukuma mwenzenu?😀😀😀😀
cc: carbamazepine
100%[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]hawana sifa za ajabu ajabu,halafu wenyewe wanapenda kufuga ng'ombe elimu wawewaachia wahaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Babaake Msukuma?
Kama ni kweli Msukuma wa watu alibambikiwa mimba akalea mwana si wake. Wasukuma hawajisifii kusoma sana na kupenda kuajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa si mwisho wa siku ulikuwa walumangia ugali.Unaujua utamu wa nyama mama??
Kuna kipindi nilikuwa nikipika dagaa nakaa na kisosi jikoni cha kuonja wakati nasubiri ugali[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], basi tufanye tukubali yaishe....Halafu hamjuagi sie wabishi, huwa hatukubali mapema, tunawafuatia WAHA kwa ubishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni mjita acheni kumkana ndugu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa si mwisho wa siku ulikuwa walumangia ugali.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], basi tufanye tukubali yaishe....Halafu hamjuagi sie wabishi, huwa hatukubali mapema, tunawafuatia WAHA kwa ubishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
Yaani usinipe nyama nipike kila nikienda kuiangalia naonja kama imeiva[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi tunasoma balaa. Wahaya na Wachaga na huko Mwakaleli walijiwahi kwa sababu ya hali ya hewa wakoloni wa Kijerumani na Kiingereza walipenda hali ya hewa wakaamua kukaa huko. Isingekuwa ujiniazi wa Nyerere kutusambaza vijana kwenda kwenye makabila hayo wengine tusingesoma...100%[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]hawana sifa za ajabu ajabu,halafu wenyewe wanapenda kufuga ng'ombe elimu wawewaachia wahaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wajita nao kumbe hovyo tu aisee..Huyo ni mjita acheni kumkana ndugu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]