Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UKITAKA KUJUA UKUBWA WA UUME WA MUMEO MTARAJIWA

Kama wewe ni mwanamke na unataka kuchunguza maumbile ya mume wako mtarajiwa si lazima umvulie chupi ndiyo ujue kuwa ana ukubwa au udogo kiasi gani,kama hujapata size yako utawavulia wangapi?FANYA HIVI
 
Tazama kidole gumba cha mguu wake,ukiona ana dole kubwa basi ndiyo maumbile ya uume wake yanaashiria ukubwa ule wa kidole gumba cha mguu,na kikiwa ni kidogo au kati kwa kati au wembamba na unene basi na maumbile yake ni hivyohivyo.Naamini umepata picha.
 
Ili mwanaume ujue ukubwa wa maumbile ya mwanamke unapaswa uchunguze mdomo wake kwani huu ndiyo utakaokupa picha ya maumbile yake kwani ukubwa au udogo wa mdomo wake basi ndiyo picha hiyohiyo ya maumbile yake sasa chunguza kama hiyo kitu itakufaa au laa.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]... Troublemaker in da house!
 
1.UKE MNENE WENYE KINA KIFUPI[Huyu yeye atapenda uume mwembamba na mfupi]

2.UKE ULIOLALA MWEMBAMBA WENYE KINA KIREFU[Huyu yeye atapenda uume mnene na mrefu]

3.UKE MNENE[Huyu yeye atapenda uume mkuubwa ndio anahisi utamfikisha]

~Katika aina hizo 3 ndani yake zimegawanyika katika maumbile tofauti tofauti,yaani nyingine ipo kwa juu kidogo,nyingine kwa chini kidogo,nyingine katikati,ipo iliotuna,ipo iliobanda n.k

Tuseme tuu ukweli mara nyingi inapokuwa mume na mke ni tofauti wengi hujikuta wanatafuta njia mbadala
 
IKIWA NIMEPATA TOFAUTI JEE NIFANYAJE?
~Ikiwa umepata mwenzako au umechunguza kwa muongozo niliokupa lakini uchunguzi huo ukakushinda na umepata tofauti na wewe,tafadhali usimuache mkeo au usimkimbie mumeo na kwenda kutafuta mchepuko kwani kwenye dini ni kharamu na pia kumbuka magonjwa ya maambukizi ni mengi unachotakiwa kufanya ni kujifunza elimu nyingine ya kuyashughlikia maumbile tofauti na ulivyoyatarajia nanyi mtafaidi ndoa yenu na kudumu mpaka kifo kitakapowatenganisha.
 
wanaume yamegawanyika sehemu tatu
1.Uume mkubwa[TEMBO]

2.Uume wa kati[FARASI]

3.Uume mdogo[KONDOO]

~Kila mwanamke ana mapendeleo yake na hisia zake kuhusu ukubwa wa uume ingawa inategemea na uwezo wa kufanya kazi,wengi hudhani uume mkubwa au mnene ndiyo madhubuti kuliko mdogo,wengine wao hudhani kuwa nyembamba ndefu ndiyo madhubuti zaidi,lakini utendaji kazi ni suala linalojitegemea,lakini ile inayomuingia sawasawa na kugusa kona zote za mwanamke anayetaka kukunwa ndiyo yenye kufaa na kikubwa ni kujua tuu mbinu gani zitakazomfurahisha mwenzio.
 
Je wajua? Pesa ya kuokota inaweza kukutia nuksi za kudumu za kiuchumi kipes,kiafya na kimaisha kiujumla?

Huwa inachukuliwa na kuwekwa juu ya majani saba ya mbuyu na hufukiwa kaburini siku 14 kisha hutupwa njia panda ukiiokota pesa hiyo basi ujue umezoa shida za mtu

Kuweni makin
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bro bana unajua kuna saa nataka kufuata nyayo za ruta(kuadimika JF)so nafuta pole pole tule tutabia pendwa nisahaulikepo,maisha haya daah.

Ila natumain sitaweza,JF tamu sana
Mzee Ruta mbona yupo sana tu? Sema Pengine huku ndo haji. Ama kakwama Nairobi kama wanavyodai?

Jambo moja tu: Ukitaka kuondoka lazima uage. Tumekuwa kama ndugu na pamoja na mapungufu yetu kama binadamu, tusikubali kupoteza urafiki na undugu huu tulioujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…