Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe yupo basi likes zimemtosha ndo maana kapumzika kuja huku.

JF tamu kuondoka ngumu. Kuaga muhimu pia
 
Waaaah[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]

Ila kila kinu na mtwangio wake[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
NO.1
SIGARA NA UGORO
~Uvutaji sigara na ugoro hivi ni vitu hatari sana kwa afya zetu wanaadamu,kwani vitu hivi vina nafasi kubwa ya kuweza kukusababishia magonjwa ya kansa,moyo na magonjwa mengine mengi
 
NO.2
UTUMIAJI ULIOKITHIRI WA DAWA ZA KEMIKALI
~Utumiaji uliokithiri wa madawa ya kemikali pia unaweza kusababisha madhara katika mwili wa binadamu,ni nzuri na zinaponesha lakini zina kemikali kali,kuna wengine akijiskia tuu uchovu lazima ameze dawa za maumivu,utumiaji ukikithiri hupelekea hata mtu kuumwa mara kwa mara.
 
NO.3
KUTUMIA MAFUTA MENGI KWENYE CHAKULA
~Watu wanashauriwa kuepuka kutumia mafuta mengi kwenye vyakula kwa sababu mafuta mengi huleta magonjwa mbalimbali kwenye mwili wa mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…