Nilikua nataman ila sasa dakika mbili penseli biki zinazagaa kwenye begi,nabak mupenzi mtazamaji wa waremba kompansAisee! Umenikumbusha mbali...Nilikuwa mmoja wa wapamba mikebe... Nimejaza pens, pensils, naweka na kinoti cha 500/buku[emoji23][emoji23][emoji23]...ukiushika mkebe kama umeshika jiwe[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua nataman ila sasa dakika mbili penseli biki zinazagaa kwenye begi,nabak mupenzi mtazamaji wa waremba kompans
Hatari tupu [emoji23]Kheee huyo mgonjwa sasa hadi misiban duh. Mie maharage,chapati,maandazi,vitumbua,karanga hivi vitu siwezag kuonja nikiwa napika labda siku hio niwe na njaa sana ndo ntaonja
Mungu amponye.....[emoji120][emoji120][emoji120]
Diva ana kauli tata,hapo anaomba msaada kisha anasema atanunua mbegu hata za neymar sio za wa bongo.Mungu amponye.....[emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna kipindi aliweka wazi kuwa atakayemuoa ajipange kwa mahali milioni kadhaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuonja nako kuna raha yake ati[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaha! Hulka
Mie huwa sionji, hata kama ni karanga nakaanga, inaiva bila kuonjwa..hahaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawajua tu waonjaji[emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuonja nako kuna raha yake ati[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli zingine za mfa maji...Diva ana kauli tata,hapo anaomba msaada kisha anasema atanunua mbegu hata za neymar sio za wa bongo.