Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kheee huyo mgonjwa sasa hadi misiban duh. Mie maharage,chapati,maandazi,vitumbua,karanga hivi vitu siwezag kuonja nikiwa napika labda siku hio niwe na njaa sana ndo ntaonja
Hivi kuna mtu anaonja maharage??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie nilikuwa fundi wa kuonja samaki,nyama na dagaa[emoji23][emoji23][emoji23]yaani kama samaki lazima niongeze kipande kimoja cha kuonja[emoji23][emoji23]
 
My mom anaonja maharage vizuri tu huwa tunamshangaa ila yeye hana habaree.

Hivyo vitu nikionja basi wakati wa kula napata tabu sana maana vinakua vimeshanikinai

Halafu ugali haina haja ya kuonja,ukitaka kujua umeiva chukua katonge kadogo ponda/tupia ukutani ukinasa mbichi,ukidondoka umeiva
 
Chapati,maandazi na vitumbua vinakinaisha sababu ya mafuta
 
Hata maini haina haja kuonja.

Ukitaka kujua kama yameiva unaitoboa na kisu tuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…