Hapa umetupiga za chembe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaombe maji ya kunywa kisha uanze kujichekesha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha. Muulize Babe S atakumbia uchini 18 wangu upo wapiShukran andaeitini wetu mashuhuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo babe s simu yake sijui umeificha wapi hata hatumuoni humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna vituko jikoni mnaweza tengeneza series ya vituko jikoni
Kumbe mnaonja kwa sababu ya njaa sio kujua kama vimeiva
Yap mkuu
Eid Mubarak
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuonja nini mkuu nyie watu wa pwani hamueleweki
Unaruhusiwa kuonja lakini hutakiwi kumeza