Nilikuwa toilet umeme umekatika ghafla nimeshtuka utafikiri zoezi hili naliendesha kwa kutumia umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukikuta kama yamekangwa kama yameungua kidogo matamu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Matembele huwa sionji kakake,yale huwa nakula kabisa[emoji23][emoji23]ila matembele matam jamani
Nakataa mi sijagusa nywele zake. Labda zimevurugika wakati anajiburuta kutoka kona moja ya kitanda kwenda nyingine. Tena nitaruka maili mia. Ukizubaa tu utaishia kwenda kununulishwa wigi la laki tatu na ushee eti umeharibu nywele. Kha !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka.
Hata ukiwa unamgegeda na akawa hajielewi fahamu zikimrudia unalo[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kakake hata kama gharama zilikuhusu,usijaribu kamwe
Utanyimwa konokono na wifi shauri yako[emoji23][emoji23]
Basi hakuna mnachojadili hapo [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Msambwanda wake kama sahani ya bati[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Pesa za masharti....Hiyo ndo habari kubwa.Ulimbukeni. Pesa za masharti. Ushamba. Ubahili. Udikteta n.k, n.k...
[emoji23][emoji23][emoji23], ule wa kujibinua.Msambwanda wake kama sahani ya bati[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa firigisi unaonja vipiKwani kuonja ni kula?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka.
Hata ukiwa unamgegeda na akawa hajielewi fahamu zikimrudia unalo[emoji23][emoji23]
Sasa angefanyeje? Kulikuwa na otenativu nyingine hapo kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ulikuwa na bahati hata mlikubaliana ununue wigi...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nilijua tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama kawaida yako,ushaharibu
Loh[emoji87] [emoji87] lugha mmeibadilisha sana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama kawaida yako,ushaharibu
Uzuri wa mwanamke ni nini ?Kwani anaoa urembo???
Unatoa mil.500 ndani anakuwa pasua kichwa....Kimeo...Mil.500 inakunyima usingizi + AMANI...Shwainiii kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaah!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walaaa.... Siwezi, mbona nshaelewa vizuri tu.
Tatizo ni kupata uji wa kutosha, maana yake ni lazima ule karanga, nazi, mihogo mibichi, supu ya pweza, mlonge wa kutosha [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo ya stiimingi ya sura na nywele kwa kutumia parachichi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] woooozaaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nywele kwa mwanamke aisee ni kitu cha thamani. Mmoja hivi alijichanganya akaniambia eti nimsaidie kufumua. Alikuwa kasuka hivi virasta vidogo vidogo vingiii. Nikafumua kama vitano hivi nikaona vidole vimeanza kuniuma. Ngosha nikaamua kupita short cut kwa kukata na mkasi nikidhani kuwa nilikuwa nakata hizo rasta za bandia. Kuja kushtuka kumbe nilikuwa nakata nywele zenyewe na nilipomaliza kufumua kichwa kizima akawa kama amedonolewa donolewa na kuku. Moto ulioniwakia sitakaa nisahau + safari ya kwenda kutafuta wigi. Horrible experience. Sasa hivi nishaapa sitakaa niguse nywele za mwanamke labda tu kama namgegeda amenogewa hajielewi [emoji16][emoji16][emoji16]