Karibu mkuuAsante sana niliwamiss pia ndugu zanguni
We si ulisema huogopi kimdabuo?Aaaaah bana kimdabuo siwez mieee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hii kauli ya jini imenichekesha sana....Kuna baba mmoja anamwitaga mkewe jini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikajaribu kumuoa huyo kizau zau anayejianika mitandaoni?[emoji3] [emoji3] [emoji3] kumuoa mwanamke kama huyo ni sawa na kufuga jini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maajabu ya mwaka huu... Eti uniq ni wa kumiliki mtoto?!!!Ati mwanafunzi naye amepata mtoto[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]eti kaisikiJizazi...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sikufika kwenye follicle jamani. Kwanza huko hakufikiki kirahisi. Kaisiki usiogope. Sikatagi mashina loh
Ni mtu wa amani mimi. Sipendagi makelele kabisaa. Na kwa jinsi alivyokuwa amewaka yule si ajabu angenijazia watu mtaani aisee. Sikuwa na ujanja kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sitakaa nifumue mtu nywele tena. Nefaaaaa! Labda nikusainishe waiver/disclaimer kuwa kila kitakachotokea baada ya mfumuano ni juu yako na mimi mfumuaji sihusiki...
Halafu inasaundi kama tunaongelea mfumuano mwingine na siyo nywele...Mhhh...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maajabu ya mwaka huu... Eti uniq ni wa kumiliki mtoto?!!!
Ogopa sana nywele za mwanamke (hasa hizi za kichwani). Likibumburuka unaweza hata kuachishwa kuangalia mechi kali ya Livapuu ili uende kutafuta wigi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mambo hayanaga uzee...
Leo wapi jirani? Enzi zetu zile mnamaliza kukandamiza pilau, jioni mnaelekea Kidongo Chekundu! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watatuua ikitokea. Utamuona wapi JIRANI mzee wa pipi ukifutwa?
Utampata wapi jirani wa kumpa ili kisioze?
Wakiufuta maana yake na "mfumuano" itakuwa ndio basi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi tutapata elimu ya nene fupi, ndefu nyembamba, sijui vidole vya miguuni sijui vina wakilisha nini!! Eti au achunguzwe Mange vidole vyake[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani Numbisa ni shida sana
Watuacheeee...