Hahahahaha![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuonja hakujawahi muacha mtu salama[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimekwambia kuoja si lazima uonje mnofu wa kuku[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] vya kuonja ni vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile kitu kuna saa inalog out kwenye ubabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We si ulisema huogopi kimdabuo?
Au unasubiri cha goldi kresti[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kakake hii kitu usijaribu la sivyo utakuja toa ushuhuda humu na kusema laiti ningejua[emoji16][emoji16][emoji16]
Atachukia kula konokono kwa kachumbali..Badala yake atakula kwa ndimu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile kitu kuna saa inalog out kwenye ubabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watatuua ikitokea. Utamuona wapi JIRANI mzee wa pipi ukifutwa?
Utampata wapi jirani wa kumpa ili kisioze?
Wakiufuta maana yake na "mfumuano" itakuwa ndio basi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi tutapata elimu ya nene fupi, ndefu nyembamba, sijui vidole vya miguuni sijui vina wakilisha nini!! Eti au achunguzwe Mange vidole vyake[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani Numbisa ni shida sana
Watuacheeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie watu nyie
Kwahiyo aachane na za kichwani achezee wa wap??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nadhani na uzee unachangia
Shemeji yako kwenye "mfumuano" alikandamiza kisukuma nikajua anaongelea mfumuano wa kweli kweli [emoji23] [emoji23]