mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mambo ledadaNipo shoo, kuna vitu havikuwa sawa ndo maana.
Mambo ledadaNipo shoo, kuna vitu havikuwa sawa ndo maana.
Kwani alikuwa mkali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo karudi jana carba akamkaribisha kwa kucha zake[emoji23][emoji23]
Maneno kuntu kabisa[emoji110]View attachment 844545
Mpole sanaKwani alikuwa mkali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh!Mwanaume kunyonya maziwa ya mdada aliyetoa mimba ni sawa na kula mali za marehemu
Mkuu niaje Handeni nitakuwepo wiki ijayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za kulala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zingatia masomo kijana[emoji3] [emoji3]
Poaa niaje!?Mambo ledada
My queenHahahaha
Niaje
Mshambuliaji mahiri wa Argentina, Sergio Aguero ameifungia Manchester City mabao matatu ‘hat trick’ katika ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Huddersfield.
Hiyo imekuwa hat-trick ya kwanza ya katika Ligi Kuu England msimu huu wa 2018/19, mabao mengine ya City yakifungwa na Gabriel Jesus, David Silva na bao la kujifunga la Terence Kongolo, bao la kufutia machozi la Huddersfield lilifungwa na John Stankovic.
Mchina
Aguero anakuwa mchezaji wa pili katika Ligi Kuu England kufunga hat trick ya tisa akimkaribia shujaa wa New Castle United, Alan Shearer aliyefunga hat trick 11, kwa muda wote wa uchezaji wake.
Mara baada ya kufunga bao la tano ambalo lilikuwa la tatu kwa Sergio Aguero, mfungaji bora wa muda wote wa City, alipumzishwa zikiwa zimesalia dakika tisa.