Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mshambuliaji wa Chelsea, Alvaro Morata amemuahidi mambo mazuri Kocha wake, Maurizio Sarri.
Morata amesema kuwa kocha huyo hatajuta kuiacha Napoli ya Italia na kujiunga na Chelsea kwani wachezaji watapigania kuipa timu hiyo ubingwa.
Morata alisema amefurahi kucheza mbele ya kiungo mpya wa timu hiyo, Jorginho ambaye kutua kwake Stamford Bridge, kumempa tena mtu wa kumtengenezea mapande ya uhakika ya kumuwezesha kufunga.