Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ronaldo alimzungumzia pia mwanaye, Cristiano Jr ni mtu anayeonekana kuwa na ushindani tangu akiwa kwenye umri huu mdogo hivyo, imani yake ni kubwa atakuja kuwa mchezaji mgumu sana hapo badaye.
 
KINARA wa mabao kwenye Ligi Kuu England, Alan Shearer amempa ujanja kocha mpya wa Arsenal, Unai Emery kama anataka chama lake lianze kutisha kwenye ligi hiyo msimu huu, basi atafute namna nzuri ya kumtumia kiungo Mesut Ozil.

Emery, ambaye ametua Arsenal Mei mwaka huu, amekuwa kwenye presha kubwa huko Arsenal baada ya kushindwa kupata ushindi wowote katika mechi mbili alizocheza kwenye Ligi Kuu England hadi sasa.
 
Arsenal imechapwa mechi zote hizo mbili za kwanza kwenye ligi, ikipigwa 2-0 na Manchester City kabla ya kuchapwa 3-2 na Chelsea na hivyo kuwafanya kuwa vigogo pekee kwenye Top Six ambao hawajaandikisha ushindi wowote kwenye ligi hiyo hadi sasa.

Lakini Shearer, aliyewahi kuichezea Newcastle amemwambia Emery atakapoweza kumtumia Ozil vizuri ndipo atakapoona kazi ya kuinoa Arsenal ni nyepesi zaidi. “Emery atakumbana na shida kidogo, lakini anachopaswa kufanya atafute namna nzuri ya kumtumia Ozil,” alisema Shearer. “Alifanya uamuzi mzuri kumtoa dhidi ya Chelsea, kwa sababu hakuna alichokuwa akifanya uwanjani, alikuwa abiria tu kwenye mchezo.”
 
Anko ni kweli umeacha ligi humu? Ile ligi ya kule uliyo kuwa unashiriki mbona ni ngumu sana... Tena ile ya mani aloni [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekushonea na kagauni ka shikukuu kama zawadi
IMG-20180813-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom