carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nahizo F zako.Mapema nini Tena
Yaani we bint mawazo yako bhana hiyo F hapo stands for FamilyNahizo F zako.
Naona sidekid anafunga safari kuwasaka akina tiffa. Mie nampa mabango hapa,maana ni kero watu wanaonyesha hawakutaki kaa kando yeye kiherehere kama hamisa kutwa kujiweka pasipo mhusuNiliusoma huu uzi jana nikakosa cha kusema zaidi ya hiiii.
Yaani ingekuwa mie ningeishia hapohapo kuwatafuta,shuaini zao[emoji124][emoji124][emoji124]
Njema the day is bright
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hewala tena ili kuwatia hasira unatag na kusema njoo uone hii ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]nitakuwa naanzisha ugomvi halafu naku tag
Haha!sawa basi.Yaani we bint mawazo yako bhana hiyo F hapo stands for Family
Ndioo maa wa kawaida sana ila sifa wanazoumwagia pyeee [emoji19][emoji23][emoji23]kumbe tuko wengi.
Kuna mahala nimeona mtu kasema eti haina tofauti na mvumo wa radi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huo ubabe utakuisha lini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hewala tena ili kuwatia hasira unatag na kusema njoo uone hii ng'ombe
Namshukuru Mungu, mambo yanakwenda poa.Njema the day is bright
Viph kwako na wapendwa wako
Siku nikijiondoa kwenye uanonymuos[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huo ubabe utakuisha lini??
Good morning!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nimemuelewa kidogo mtoa mada,yeye anataka ukaribu na ndugu zake lakini inaonekana nduguzake hawataki ukaribu na yeye.Naona sidekid anafunga safari kuwasaka akina tiffa. Mie nampa mabango hapa,maana ni kero watu wanaonyesha hawakutaki kaa kando yeye kiherehere kama hamisa kutwa kujiweka pasipo mhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hewala tena ili kuwatia hasira unatag na kusema njoo uone hii ng'ombe
Hahahahaha!Siku nikijiondoa kwenye uanonymuos[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good morning too prof,upo poa?
Wazee wa promo kwenye promo wako vizuri ila nyimbo sasa,mweeeNdioo maa wa kawaida sana ila sifa wanazoumwagia pyeee [emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamanii