Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanionea ujue??
 
Sio kila mtu bhana,tulikuwa watano tu[emoji23][emoji23][emoji23].
Mzee wa ini akaja kufukua makaburi usiku na kusema eti ubuyu ulimpita[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wote walioona lazima watie neno, basi kama ndivyo ngoja niscreen shot, kwa faida ya waliopitwa[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha! Sasa sijui umewaza visima vipi ngamia aweza inamisha shingo yake na kukausha maji..[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mwenyewe hata sijui niliwaza nini ulivyosema visima hadi nikaanza kuwaza yawezekana si ngamia bali ni "ngamia"maana huyo pekee ndo anaweza kausha " visima"[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134], Mungu wa waisrael.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shuaiiniiiii zako,sijui unalengo gani na mimi
Na hapo bro jana hakutokea sijui ingekuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mpaka kieleweke...Huwezi kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio kiasi chote hiki...Nakataa.
Yegomasika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…