Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
INGEKUWA uswahilini tungesema bakora zimekaribia Old Trafford. Lakini kwa Wazungu pale Manchester United mashabiki wamechukua njia nyingine ya kuonyesha kukerwa na utawala wa sasa wa Bosi Mtendaji, Ed Woodward.
Imebainika mashabiki wa United wameandaa ndege maalumu itakayobeba ujumbe wa kutomtaka bosi huyo katika pambano dhidi ya Burnley Septemba 2 utakaoandikwa ‘Ed Out’-LUHG’ (Love United, Hate Glazers).
Ripoti nyingine za ndani zinadai mabosi wa United bado wanamsapoti kocha huyo wa zamani wa Chelsea lakini wana wasiwasi kuondoka kwa msaidizi wake wa muda mrefu, Rui Faria kunaweza kusababisha kocha huyo afeli klabuni hapo.
“Rui alikuwa ni mtu pekee ambaye alikuwa na uwezo wa kumdindishia Jose katika siku za nyuma na kumpa maneno ya maana yakamuingia. Walikuwa ni marafiki bora na usingewatenganisha. Hata hali ilivyo sasa ingeweza kuleta mzozo baina yao lakini Jose alimheshimu kuliko mtu mwingine yeyote,” alisema mtoa taarifa mmoja wa ndani.
Uwongooooo !!! [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Hahahahaha! Hiyo Uwongo ulivyoisema kwa nguvu zote sasa.Uwongooooo !!! [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Who is a good man? What do women want? Tuanzie hapo kwanza.....Naanza Kuamini Kwamba Wanawake Wengi Hawapendi Wanaume Wastaarabu. Wanawapenda Wale Wanaume Wanaowasumbua Sana Yaani Yule Mlevi, Muhuni, Muongo, Mvuta Masigra Yaani yule Msumbufu Sumbufu. Wanawake Wengi Wako So Allergic Na Good Men . Ukiwa Good Men Tu! Wanasumbua Sana.
Naziona hizo cheki hapo. Uko vizuri mkuu. Nakuombea kwa Mungu Akuongezee tena na tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kupiga nje-ndani a.k.a tako kwa nguvu na haraka-haraka na kubadili mikao kila baada ya dakika chache mpaka binti wa watu anaomba "msamaha" haikufanyi kuwa mtaalamu wa kufanya ngono bali ni mtaalamu wa fujo na kumchosha mwenzio......
Aaameeeeeen
Hahahahaha!Kupiga nje-ndani a.k.a tako kwa nguvu na haraka-haraka na kubadili mikao kila baada ya dakika chache mpaka binti wa watu anaomba "msamaha" haikufanyi kuwa mtaalamu wa kufanya ngono bali ni mtaalamu wa fujo na kumchosha mwenzio......
Nyumbani kunogileUtaalamu wa kufanya ngono ni kujua kujizuia, utundu/ujuzi wa kutumia uume wako pale unapokuwa ndani.....unaruhusiwa kubadili "mirindimo" lakini kwa kujali na kwa upendo unless uambiwe tofauti na huyo umfanye kutokana na utamu/raha anayoipata.
Unaimudu?Nimeona smirnoff tu
Homo Sapiens bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kupiga nje-ndani a.k.a tako kwa nguvu na haraka-haraka na kubadili mikao kila baada ya dakika chache mpaka binti wa watu anaomba "msamaha" haikufanyi kuwa mtaalamu wa kufanya ngono bali ni mtaalamu wa fujo na kumchosha mwenzio......
Insh'allahNaziona hizo cheki hapo. Uko vizuri mkuu. Nakuombea kwa Mungu Akuongezee tena na tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Unaimudu?