Hao ni wazee wa kutaka sifa,yaani kisima kinakauka kabisaa
Mama anapokuwa ana mimba mahitaji ya madini ya chuma yanakuwa makubwa (wahitaji wanakuwa wawili) lakini akishajifungua anakuwa ni mmoja (mama mtoto) hivyo mahitaji ya madini ya chuma yanakuwa si makubwa.
Na inakuwaje mama mjamzito anasumbua sumbua kwa kutaka hiki au kile, mara nataka samaki kila Siku, mara nataka nanasi hata kama siyo msimu wake inakulazimu uzuunguke kwenye masoko mpaka ulipate. Tatizo nini?
Pia Mariamu huwa wana besi sana,,sauti nzto kama wanaume
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mariam wote au hao wachache uliokutana nao?
Hahahahaha! Hawa hawajatulia kabisa, vichwa juu juu..
]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kisima gani hicho kinachokauka?Hao ni wazee wa kutaka sifa,yaani kisima kinakauka kabisaa