Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Umebahatisha bro. Leo lazima tufanye sherehe...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo rahisi sana, tunaita JINUMBU.
Lugha za Kibantu:Hiyo rahisi sana, tunaita JINUMBU.
😀😀Umebahatisha bro. Leo lazima tufanye sherehe...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee wa kutembea na ilani
Viazi mnaiteje kwa Kizaramo?Mzee wa kutembea na ilani
Viazi mnaiteje kwa Kizaramo?
Kumbe darasa lilishaanza? Sikujua bro. Nafuta kauli yangu hapo juu. Na kwa prof kama yule mwezi mmoja tu tayari unakuwa na native speaker competence kabisa...Hongera bro [emoji122][emoji122][emoji122]😀😀
Sifanyi mambo ya kubahatisha mimi! Umesahau nilipata mwl hapa.?
Na ninavyokujua hutarudi. Wewe na Ester wako haoo mtaibukia kwenye ubuyu samuwhea...Kuwa na siku njema shemNgoja nikaulize[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Na ninavyokujua hutarudi. Wewe na Ester wako haoo mtaibukia kwenye ubuyu samuwhea...Kuwa na siku njema shem
Kikwetu tunaita KasiiLugha za Kibantu:
Kiswahili - viazi
Kizaramo -
Kijita - Jinumbu
Kisukuma - numbu
Kinyakyusa -
Kichaga -
Kipare -
Kinyamwezi -
Kihaya -
Kinyaturu -
Kinyiramba -
Kirangi -
**************
Kiiraqw -
Kwa msiopenda kuficha makabila yenu tiririkeni hapo juu ...
Lugha za Kibantu:
Kiswahili - viazi
Kizaramo -
Kijita - Jinumbu
Kisukuma - numbu
Kinyakyusa -
Kichaga -
Kipare -
Kinyamwezi -
Kihaya -
Kinyaturu -
Kinyiramba -
Kirangi -
**************
Kiiraqw -
Kwa msiopenda kuficha makabila yenu tiririkeni hapo juu ...
Wahindi si mtutafutie holiday[emoji848] hata kama ni ya kutafuna pilipili
[emoji23][emoji892][emoji108]