mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Madikodiko
Death row
Na kwako piaUsiku Mwema WanaJF!
Amun RaPambaneni sana jumatatu hii ili muibambe minoti View attachment 847927
Nzuri mkuu mambo niajeKwema mkuu.
Habari?
Ona sasa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapana, nisije kutana na sifa ambazo mai waifu wangu hana. Nitaumia sana.
Halafu ndo nagundua saa hizi kuwa kumbe tumeoana (mnyaki na msukuma) Washamba wa taifa [emoji23] [emoji23]
Hivi ni kweli sisi ni washamba?
Ninacho jua mimi tukiwa kwenye usafiri wa umma ndio taabu ina kuwepo, ni kutwanga kilugha tu hata kama tumetenganishwa na siti kumi kati kati... Tuna jiachia hivyo hivyo hadi koo likauke. Mengine sijui kwa kweli
Aisee umeanza nae mbali sana, hadi ukasababisha mdogo wangu atemwe [emoji23] [emoji23]
Weekend inaelekea ukingoni
Mungu atupe usiku mwema
Wanyonge wenyewe hawapendani. Huo umoja utatoka wapi? Na waliowanyongesha utafikiri watawakubalia wawe na umoja?
Sioni maji au kinywaji cho chote hapo. Akikabwa mh. atapona? Zisi izi denjarazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii Dunia Sote ni wapitaji tu!
Kabisa mkuu, tupo safarini
Jamaa gani tena bro. Hebu nami ninong'oneze please...Dooh!
Wanawake bhana! Sasa mimi si ninamjua yule jamaa yako.
Naheshimu hilo.
I can not cross the lines.