Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yawezekana mkuu. Andaeitini wa kishua kutoka Dar unakula ubwabwa kila siku huwezi kuelewa kuwa kuna kipindi ubwabwa ulikuwa hauliwi isipokuwa siku za sikukuu...

Maisha ya mikoani huko hasa vijijini yalikuwa shida mkuu

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ubwabwa ndondo miaka ileee[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…