carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengi wanataman sana kuja kula likes ila sasa wameweka ego mbele
Taratiiibuii wasikusikie wenyewe maana tayar wameshajipa na kombe la msimu huuLiver huwa ananzaga vizuri sana ila sasa ngoja huko mwishoni mweeh!
[emoji113]
Liver huwa ananzaga vizuri sana ila sasa ngoja huko mwishoni mweeh!
Mweee utashobokewaje,papaaa carba kila mtu atawahi hio challange chezea pesa weuweeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masupa staa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaanzishe uzi na mimi natoa 100k
Man city wa wapi wewe,angalia timu ako ipo poa kuliko liverIla season hii anaweza ibuka kidedea!
Mkuu habari,
Jirani akijibu nitag please [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HAPANA
Taratiiibuii wasikusikie wenyewe maana tayar wameshajipa na kombe la msimu huu
Mmh!sijui labda tusubiri maana msimu ndo umeanzaIla season hii anaweza ibuka kidedea!
Masupa staa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaanzishe uzi na mimi natoa 100k
Mweee utashobokewaje,papaaa carba kila mtu atawahi hio challange chezea pesa weuweeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upapaswa muhimu
Hee halafu weekend hii nipo hapo harusin. Anonymous forever
Mambo taratibuuuuii huku na huko full matouch touch,mwaa mwaaaa za kurusha na deep kila mahala wacha weee[emoji85][emoji85][emoji85]ila mpapaso unaraha yake[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah bana umenikata stimu nilijiandaa kuwah sitiSema nataka me tu,ke zipite hivi[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Taratiiibuii wasikusikie wenyewe maana tayar wameshajipa na kombe la msimu huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeuona huo uzi, unaweka dau la $100 unapata namba ya mchuchu! [emoji1][emoji23][emoji23]
Ntakutafuta na suti ako hio nyekunduTutafutane, na mimi nitakuwepo hapo! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]