[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Naamini ni vigumu sana kumfanya mwanaume aridhike kwa sababu ya kufanyiwa ufundi mwingi.
Mwanaume hana anachoridhika nacho, mwanamke anaweza kujitahidi kufanya yale anayodhani mmewe ataridhika nayo lakini isiwe vile.
Wakati mwingine mwanaume huhitaji kufanya badiriko la kuridhisha nafsi yake tu, na hata kama ana mke mzuri na mtaalamu nyumbani hiyo haimfanyi atulie.
Kitakachomfanya mwanaume atulie ni kufanya maamuzi ya kutulia tu na si kitu kingine.
Nasema haya sababu ninao uzoefu na pia ni mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waaaah[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Cole unatuchosha na maswali yako View attachment 852703
Hii ya chini ni aina ya style ile mbuzi kagoma kushuka chiniView attachment 852705
Ziko WAPLikes zinaendelea kutolewa
Ungemtwanga nalo mdogo wangu kipindi kile,sijui .... Yaani sijui....[emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 852701
Cole unatuchosha na maswali yako View attachment 852703
Hii ya chini ni aina ya style ile mbuzi kagoma kushuka chiniView attachment 852705
Teh!Ungemtwanga nalo mdogo wangu kipindi kile,sijui .... Yaani sijui....
Ni waridi la Koromije hili au unaomboleza mahali penzi limekufa? Poleee !!![emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 852701
Penzi limekufa[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni waridi la Koromije hili au unaomboleza mahali penzi limekufa? Poleee !!!
Kifo cha mende . Huu ni "mkao" wa kizamaniMkuu kifo cha Mende ni nini
Hata sijui yanakosea wapi?!!!Machozi jasho na damuView attachment 852710
Nilijua tu. Usingeweza kulala bila kulipiza kisasi...Tulia sasa...Yaaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 852720