Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nae anatanga tanga, kipindi kamtupilia mbali Ndikumana nilihisi labda Ndikumana ndo mwenye tatizo...Lakini naona bandika bandua inaendelea.

@Mohabbat par itna yaqeen
Nadhan ni kama ka laana ka ndiku kamemchapa maana alimtumia kaka wa watu vibaya kamfilisi kuanzia pesa mpaka kipaji cha kusakata kambumbu kisha kamtupilia mbali tena kwa kumdhalilisha na kumkana
 
Nadhan ni kama ka laana ka ndiku kamemchapa maana alimtumia kaka wa watu vibaya kamfilisi kuanzia pesa mpaka kipaji cha kusakata kambumbu kisha kamtupilia mbali tena kwa kumdhalilisha na kumkana
Na kuishia kumuita sura ya sokwe.
Mie nilivyosikia eti kanasa kwa dogo janja nikajua tu yawezekana dogo kaokota mkwanja mahali, sasa umeisha nae katupwa..

Hivi yule mwenzie wanayeendana endana nae uchumba na mkongo wake uliishia wapi??

@Mohabbat par itna yaqeen
 

Mmmmh, maisha yalivyo magumu mtaani na huko jela kutakuwaje?
 

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Wazee wetu kule Nunge wawapelekee kuku na mbuzi angalau.....
 
Kati ya vitu ambavyo sitakaa nimvumilie mwanamke ni hii ya kutangazana madhaifu yetu ya ndani huko nje. Ilikuwaje mpaka akakubali kuolewa na sokwe? Au kwa vile usokwe ulifichwa na pesa?

Dadangu Mbitiyaza sikumdharau kwa sababu alikuwa tayari kwenda kumegwa nje bali kumsema mumewe vile. Heshima !!!
 
Huyu laana ya manung'uniko ya mumewe itamtafuna hadi ashangae.

Unamsemea wolper?hana bwana mkongo wala mkinga.
Aliishia kufuga vimarioo na kuachwa,yupo anatangatanga tena nasikia anajiita boss lady hakuna boss lady kama yeye afrika[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…