Kwa dogo alikua anaigiza tuNa kuishia kumuita sura ya sokwe.
Mie nilivyosikia eti kanasa kwa dogo janja nikajua tu yawezekana dogo kaokota mkwanja mahali, sasa umeisha nae katupwa..
Hivi yule mwenzie wanayeendana endana nae uchumba na mkongo wake uliishia wapi??
@Mohabbat par itna yaqeen
Mbele ya pesa hata nyani utamuona mzuri.Kati ya vitu ambavyo sitakaa nimvumilie mwanamke ni hii ya kutangazana madhaifu yetu ya ndani huko nje. Ilikuwaje mpaka akakubali kuolewa na sokwe? Au kwa vile usokwe ulifichwa na pesa?
Dadangu Mbitiyaza sikumdharau kwa sababu alikuwa tayari kwenda kumegwa nje bali kumsema mumewe vile. Heshima !!!
Hakuna bosslady afrika kama yeye,nakufaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa dogo alikua anaigiza tu
Yule nae wale wale,mkongo alikua mume wa mtu mambo yakabumbuluka mbwembwe zote chali saiv anajiita bosslady kisa anapata visent sent kwenye ushonaji nguo,kutwa kubadili viben ten
Tena mwanamke ndie aliyeharakisha ndoa na kukodi kanisa katoliki maana jamaa alikua muislamu na hakubadili dini na aliingia kanisani kasuka twende kilioni. Bibie mashauzi tele jamaa pesa kukataa,bidada akaona oohooo aibu kurudi kuishi rwanda badala ya ulaya kama mwanzonKati ya vitu ambavyo sitakaa nimvumilie mwanamke ni hii ya kutangazana madhaifu yetu ya ndani huko nje. Ilikuwaje mpaka akakubali kuolewa na sokwe? Au kwa vile usokwe ulifichwa na pesa?
Dadangu Mbitiyaza sikumdharau kwa sababu alikuwa tayari kwenda kumegwa nje bali kumsema mumewe vile. Heshima !!!
Na alivyo njaa sana kupauka ndo usiseme eti bosslady duh[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna bosslady afrika kama yeye,nakufaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakwamvia kampa barnabas 6m na anamfanyia video ya nyimbo yake kwa 15m.Na alivyo njaa sana kupauka ndo usiseme eti bosslady duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Anakwamvia kampa barnabas 6m na anamfanyia video ya nyimbo yake kwa 15m.
Halafu baadaye akipata shida atatembeza bakuli la michango kama mwenzie diva.
Bongo movie bhana
MAKONTENA YA RC MAKONDA YAPIGWA MNADA BANDARINI.
Mnada wa makontena 20 ya RC Makonda umefanyika tayari lakini mnunuzi hajapatikana, hivyo mnada huo utaendelea Jumamosi ijayo.
Bidhaa 10 tu zilizokuwemo kwenye makontena hayo ndio zimeuzwa leo.
@Mohabbat par itna yaqeen
Mastaa wakubwa wa dunia hufika mahali wanasoma upepo wakiona miaka imeenda wanaamua kuolewa na kutulia. Angalia akina Beyonse na Destiny Child wenzake, JLO, Christina Aquilera, Alicia Keys na hata mastaa wengine wa sinema. Wanajua kuwa the Biological clock is ticking na kuna muda ulimbwende huanza kufifia. Lakini hawa wa kwetu ustaa wenyewe sijui ustaa gani lakini hakuna kutulia. Kule utu uzima watapata taabu sana hasa kama na pesa wanazopata sasa hawazitumii vizuri.
Nafikiri wengi wao hawajielewi tu..
@Mohabbat par itna yaqeen
Unaamini???Safi sana, taifa linahitaji fedha, kujuana badaye