Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Aseee, Isabel nimesoma habari zake kidogo ni vile sijakariri picha yake
 
Hahahahaha,[emoji3] [emoji3] [emoji3] watoto wavivu balaa, kuna siku tulikuwa kilioni nikamwambia kijana wetu mmoja 23yrs achanje kuni, "bamdogo siwezi hiyo" niliichokaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wasema hilo kubwa hivyo, siku hizi watoto wa kiume tunawawekea seat kwenye madala dala, eti kisa hawawezi zile purukshani za kugombea seat kwa daladala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bila aibu utawasikia sister angu naomba nishikie seat.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Ndo siasa zetu hizi,tunahangaika na mambo yasiyo ya msingi.

Ungenituma mimi shem[emoji23][emoji23][emoji23]

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imejikuta tu nacheka kama mazuri vile.

Msikae muda mrefu jamani bila kumwaga vichupa vyenu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Usicheke. Kende zikiuma muziki wake Bolingo tena ile ya gitaa la kasi la solo la Dali Kimoko ni cha mtoto. Tena kuna wakati zinakimbilia tumboni hata kuzishika huwezi. Mweeh !!!
 
Hahahahaha! Watakufa siku si zao.

@Mohabbat par itna yaqeen
Kweli kuna siku enzi zile ujanani kabisa ilibakia kidogo nife. Sitakaa nisahau [emoji16][emoji16][emoji16]

Jimama la Kimakonde jeusi tii kiuno chembamba msambwanda huko mihips hata uunganishe vimbaumbau themanini vinaingia. Lilipotoa nguo nikasema leo ukoo wa akina Shimba unaadhirika wallahi. Ila madesa nayo yanasaidiaga. Nikapita njia ya mkato muda si muda hiloo hoi kitandani linahema na kuvaibreti. Sitakaa nisahau [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiiii

Sisi wasukuma hatushindwi kitu[emoji125][emoji125][emoji125] If you die you die
 
[emoji23][emoji23][emoji23], shenzi kabisa.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…