Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]ubuyu ni afya

Saiv kuna vita mange vs esma(dada ake diamond)

Pending vita ni mange vs wastaraView attachment 863368
Na huo pending naona umeutegeshea tu unasubiria [emoji16][emoji16][emoji16]

Na huyo Mange wanamchokozaga wa nini wakati wanajua kabisa kuwa hawamuwezi na hana mpaka. Yaani ukimkoroga analikoroga kweli na data zote anakupa...
 
KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....


6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi
wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika
linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana
hapa!...
Hatari sana tena mno ila wakati injini zimewaka kuna kujisahau sana. Cha muhimu ni kutojenga mazoea ya kuvuka mpaka na married people na kujiepusha kuwa katika mazingira hatarishi faraghani. Vinginevyo mtu yanaweza kukukumba yaliyomkumba Mfalme Daudi na bibie mrembo sana sana Bethsheba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Na huo pending naona umeutegeshea tu unasubiria [emoji16][emoji16][emoji16]

Na huyo Mange wanamchokozaga wa nini wakati wanajua kabisa kuwa hawamuwezi na hana mpaka. Yaani ukimkoroga analikoroga kweli na data zote anakupa...
Hamna anayemchokoza kiherehere chake tu hebu fikiria mtu kama jokate alitukanwa weeee na kudhalilishwa wakati hakumchokoza kosa la jokate ni lipi sasa?kumuabudu binadamu ni upuuzi sana ipo siku yake atadondoka vizuri tu na tunaisubiria kwa hamu sana kazidi kudhalilosha wenzie kwa kigezo eti anaogopwa khaaa atukane tuuu watu na aachwe shuainiiii zake
 
Hujambo weye
 
Aisee...Hata harakati zake za kupinga serikali huwa zinakwamishwa na lugha na matusi ya nguoni anayotumia. Angekuwa anaendesha uanaharakati uliokomaa angeweza hata kutunukiwa nishani za ujasiri na hata digrii za heshima kutoka vyuo vikuu mbalimbali. Lakini sasa ni matusi makali mpaka mtu unasoma tu unaishia kutikisa kichwa...

Halafu hapa dunuani sidhani kama kuna watu wanaopenda umbea kuliko Wabongo aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…