Hapo sawa kabisa5- USILALE NA CHUPI- Hili kuwa huru na kulala ni vyema
ukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi.
Wanawake bhana[emoji23][emoji23]ubuyu ni afya
Saiv kuna vita mange vs esma(dada ake diamond)
Pending vita ni mange vs wastaraView attachment 863368
Umbeya mmeupa jina zuri ubuyu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]ubuyu ni afya
Saiv kuna vita mange vs esma(dada ake diamond)
Pending vita ni mange vs wastaraView attachment 863368
Baada ya kukupa hiyo hint. Ulikuwepo wakati wa ile skendo au ulikuwa bado kwenye daipazi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Shikamooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....
6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi
wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika
linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana
hapa!...
Me too[emoji23][emoji23][emoji23]Wala sikuwa kwenye “Nappies” miaka hiyo! [emoji1][emoji1][emoji1]
Hapangiwi like our prezidaaMelania amehit the jackpot naona ameshajizoelea tu. Kasheshe za kulala na wacheza porn na wanawake wengine kibao kisha kuwapa pesa ili wanyamaze zimekuja na kupita Melania yeye yuko kimyaaa. Si ajabu hata makofi anachezea kwa sababu jamaa inaonekana ana hasira sana na hataki kupingwa hata kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23]ulivyoidaka sasaMarhabaa! [emoji23][emoji23]
Me too[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeirudia kwa msisitizoKITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....
6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi
wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika
linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana
hapa!...
Sijui anapata wapi data huyo mdadaNa huo pending naona umeutegeshea tu unasubiria [emoji16][emoji16][emoji16]
Na huyo Mange wanamchokozaga wa nini wakati wanajua kabisa kuwa hawamuwezi na hana mpaka. Yaani ukimkoroga analikoroga kweli na data zote anakupa...
Aaaah na weweee[emoji23][emoji23][emoji23]... You wish!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]They say that during sex you burn off as many calories as running 8 miles. Who the hell runs 8 miles in 30 seconds?[emoji23][emoji23]