Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chelsea wapo katika hatihati ya kumpoteza kiungo wa Uhispania Cesc Fabregas, 31, na kuelekea Inter Milan ama AC Milan kama mchezaji huru mwezi Januari kutokana na mkataba wake kukipiga katika dimba la Stamford Bridge kufikia kikomo mwisho wa msimu. (Express)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…