Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Hahahaha, ahsante bwana.Ilitokea ajali moja ya Subaru na Rav4 Jumamosi moja saa Saba usiku dah,ni shida,wanywaji mnaotokea Calabash muwe makini,we Love you
Hasa ujenzi wa Taifa😀Mawe hutumika katika ujenzi
LikesPosti na likes
Ndivyo ilivyoKinachoheshimiwa ni pesa na cheo baasi sio mtu kama mtu
LikesPosti,likes nawe upate likes
Viboko ndo zilinifanya nisiepende shuleShuleni watu huogopa sana viboko
Ni kieleziMno sijui ni kivumishi au ni nomino
Mwenye Calabash anapiga hela kuna watu wanakaa Tegeta huko utakuta saa Saba yupo paleHahahaha, ahsante bwana.
Lakini Calabash nilikuwa naenda mchana tu kwa lunch.
Mida mibaya sana huwa sichezi mbali na nyumbani kwangu.
8:4520:40
Baunsa Moses yupo?Karibu mkuu.. Ukifika nijuze
Kula likeLikes
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kaunda suti wknd... wewe mkinga?
New member kula like[emoji2] View attachment 868278
Mkuu umefanya nicheke sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi naonaga members wa humu ni ghost.... sijawai ona hata mtu akichati jamii forum.... MTU mmoja ninayemfahamu ni Pasco Mayala....
Jamaa anakutengenezea mazingira uonekane mnokoHahahaha, daah...!
Nimecheka kama mwehu.
Mpaka kwenye kutoa like wanaona wivuWatu waache wivu
Unachokitafuta!Maisha ni kutafuta ili upate