Mtu anaeheshimiwa ni Mzaz tuKinachoheshimiwa ni pesa na cheo baasi sio mtu kama mtu
Umeona eeenhMtu anaeheshimiwa ni Mzaz tu
Amani ya usiku ni tamu sanaAmani itawale usiku huu
Peace&LoveAmani itawale usiku huu
Na moja ya kinachotafutwa ili kipatinake ni LIKESMaisha ni kutafuta ili upate
Sadaka zaidi ya helaManeno mazuri ni sadaka
Wajinyonge na kamasi kabsaaPoleni wote mnaopata wivu.....
Utakuja onana nao tu Ila siku hizi imekuwa ngumu kinomaHata mmoja sijawai onana nae....ni Pasco Mayala ndio...nampata...
ππWajinyonge na kamasi kabsaa
πππSadaka zaidi ya hela
Hahahahaha!!! Nilikuwa nala nae gizani[emoji23]He he he he
Hata usipokomenti mimi natoa like tu.
Nasikia mzee Tola yule tuliyemsoma darasa la pili alikuwa jirani yenu
He he he heHahahahaha!!! Nilikuwa nala nae gizani[emoji23]
Madawa ya kulevya a.k.a likesπMuda wa kula