carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitakutag sehem ukasome ubuyu uunge dots,ngoja nikanywe savanna kwanza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama.cole vile
Usiku mwema pia carba
SIMULIZI: ELFU LELA U LELA ( SIKU ELFU NA MOJA) - JamiiForumsMnaitwa nyumbani kumenoga. Mnashutumiwa kuwa mmetelekeza mkoa japo mmesoma sana [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 870375
Nilikuwa nimebebwa mchina[emoji23][emoji23]Carba hiyo avatar ulikua unafanya nini?
Wanaume wameumbiwa mateso
Keki kama hilo magodoro hayaponi [emoji16][emoji16][emoji16]Sasaaa!!?! Hivyo vidole vinapekenyua nini tena?
Keki inafyombolewa katikati kwa chini?
[emoji124] [emoji124] ila ukilipata likeki linene nene hivyo... Mgongo utawaka moto
Hewalaaa nasubiria kwa hamu shost,kunywa tatu bili kwa poti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitakutag sehem ukasome ubuyu uunge dots,ngoja nikanywe savanna kwanza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ujumbe huu ni wangu ama?SIMULIZI: ELFU LELA U LELA ( SIKU ELFU NA MOJA) - JamiiForums
SIMULIZI: ELFU LELA U LELA ( SIKU ELFU NA MOJA)
Mkuu heshima yako.
Nimekufuatilia kwa muda mrefu sana kwenye mijadala ya lugha/vitabu, najua Waswahili ni wavivu wa kusoma maandiko marefu, fanya ufanyavyo kuupamba uzi wetu kwa vitu kama alivyo vifanya mkuu The wiseman. Ni ombi tu ikiwa itawezekana.
Safi sana mkuu uko makini na bibleWaamuzi 16
27 Basi nyumba ile ilikuwa imejaa watu waume kwa wake; na wakuu wote wa Wafilisti walikuwamo humo, na juu ya dari palikuwa na watu elfu tatu waume kwa wake waliokuwa wakitazama, wakati Samsoni alipocheza.
28 Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.
29 Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wa kuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.
30 Samsoni akasema; Na nife pamoja na hawa Wafilisti. Akainama kwa nguvu zake zote; ile nyumba ikawaangukia hao wakuu, na watu wote waliokuwa ndani yake. Basi wale watu aliowaua wakati wa kufa kwake walikuwa wengi kuliko wale aliowaua wakati wa uhai wake.
Imoooooooo !!!
Ujumbe huu ni wangu ama?
Kama ni wangu, bahati mbaya sana vitabu vya Kiswahili sinavyo kwenye soft copy (japo vingi ninavyo kwenye hard copy kwa sababu napenda kusoma sana). Vitabu vya kizungu naweza kuvipata vya kila aina lakini vya Kiswahili bado ni vigumu kwa sababu vingi havijawa kwenye soft copy.
Kutokana na makala zake hapa, Numbisa pengine anaweza akawa na fununu na mahali pa kuvipata vitabu hivi kwenye soft copy.
Mkuu shimba buyenze samsoni alishakata tamaa ndio maana aliamua kufa na watu waliomtoboa machoMaswali ya kizushi kutokana na mkasa huu wa kusikitisha: Samsoni alipata faida gani kwa kuua watu wengi vile? Ilimsaidia cho chote kwa namna yo yote ile? Tunafaidika kwa namna yo yote ile tunapolipiza visasi kwa watu waliotukosea?
Mimi multiple choice nlikua sijibu kama swali halieleweki! Na kwa style hii ya maswali shule nishashindwa mapema mnoo.Utashinda huo mtihani hasa ukizingatia kuwa siku hizi maswali mengi ni matipo choisi?