Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Za kiswahili hamna softcopy labda zile za mapenzi napo zimejaa play store unakuta hata haiishi mpaka mwisho wanakua wameweka kama ka mtego usome unogewe kisha namba inabandikwa hapo utume pesa akutumie watsup au kwenye email simulizi nzima
Ndivyo ninavyojua pia. Vya Kiswahili bado. Kipindi fulani nilisikia juu ya mradi mkubwa wa kuweka kazi zote za baadhi ya waandishi mashuhuri kama Kezilahabi (Rosa Mistika, Gamba la Nyoka, Kichwamaji, Karibu Ndani, Kichomi, Dhifa, Kaptula la Marx), Mtobwa (Zawadi ya Ushindi, Dar es salaam Usiku, Tutarudi na Roho Zetu...), Musiba (Kikosi cha Kisasi, Njama, Hofu, Hujuma...), Mohammed Said Abdulla (Siri ya Sifuri, Kisima cha Giningi...) na kazi kuu za kimalimwengu zilizotafsiriwa katika Kiswahili kama Safari ya Msafiri, Alan Qurterman, Shamba la Wanyama na nyinginezo. Nitajaribu kuulizia kama mradi huo ulifanikiwa na kama vitabu hivyo vinapatikana katika soft copy tayari.
 
Mimi multiple choice nlikua sijibu kama swali halieleweki! Na kwa style hii ya maswali shule nishashindwa mapema mnoo.
Kwa hiyo hapo utashindwa uchague yupi na uache yupi. Na multiple choice unaweza kufumba macho tu au kujitengenezea pattern yako mwenyewe na ukatoboa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndiyo siasa mkuu. Mchezo wa mbinu - halali na haramu - ili kumdhoofisha mpinzani wako kwa hali yo yote ile.
 
He is a coward
 
2015 haitakaa ijirudie tena. Hata sijui tu ilikuwaje.
Mi naamini kama siasa ya upinzani isingepigwa marufuku kote nchini
Bado ccm na hali hii ngumu kwa wananchi kiuchumi wangechukiwa sana
Tukubali tukatae kupiga marufuku siasa za upinzani majukwaani ilikuwa ni mbinu ya ccm kurudisha imani iliyokuwa inapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…