Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio kweli, kuna watu wanadai kutokuziona maiti za ndg zao mpaka sasa.. Nadhani maiti bado zipo za kutosha.
Hiyo picha inaonyesha utulivu na hakuna heka heka zo zote. Halafu inaonekana ni karibu kabisa na ufukwe. Ni kwa vile ilibinuka ghafla na watu wakagndamizwa huko chini au vipi? Watu 212 wamezama hapo kabisa na ardhi inaonekana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…