Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446502014_326461.jpeg
 
Anaitwa Beautiful Yohana. Kapotea kanisani jana. Alikuwa Sunday school, akaja mtu kumchukua akidai ni dada wa nyumbani anaenda kumpa dawa wakamruhusu amchukue Na hakuwa dada wa nyumbani. Ndio akaondoka naye

MTOTO KAIBIWA JANA ASUBUKHI CJAAMBIWA JINA LA MTOTO AU KAIBIWA MAENEO YAPI NA ALIE NI DM ILA KANIACHIA NUMBER ZA MAWASILIANO KWA YYTE ATAKAE MUONA HUYU MTOTO KTK PICHA HAPO JUU ☝☝☝ . . Namba zetu Za mawasiliano hizi hapa 0652-316007
41557298_487480171730189_8384296476003380636_n.jpg
 
Mungu amlinde amfikishe kwawazazi wake salama 🙏🙏🙏 . . . "mara ya mwisho alikuwa kavaa hyo nguo, ni mdada alienda kanisani sunday school akamwambia mwalimu mama ake anamwita akanywe dawa, akaondoka nae"
41609540_2038849982844933_6253499239015234054_n.jpg
 
I

Inasemekana anaachia ngazi kabla
Wamemuwinda muda mrefu sana. Yeye ndiye alimteua Mueller kufuatilia tuhuma za Russia kwa ukaribu; jambo ambalo limemuumiza sana Trump. Alitegemea kuwa Attorney General angeingilia kati na kukomesha/kuzuia uchunguzi huo lakini AG naye akajitoa ili kuiacha sheria ichukue mkondo wake. Baada ya uchaguzi wa Novemba AG Jeff Sessions naye is out...
 
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom