myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huyu atafukuzwa kazi huyu.
Nimekupa vina laivu hapo umeshindwa kuziapply ama?Kanahamisha magoli tu haka, kanaleta ujanja! [emoji1][emoji1][emoji1]
Inasemekana anaachia ngazi kablaHuyu atafukuzwa kazi huyu.
Hawawezi kuweka umeme wa moto kwenye mti hai hata wajivue ufahamu namna gani. Kwanza lazima wataleta maafa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umehamishiwa kwenye Kilingala. Kazi unayo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanahamisha magoli tu haka, kanaleta ujanja! [emoji1][emoji1][emoji1]
Wamemuwinda muda mrefu sana. Yeye ndiye alimteua Mueller kufuatilia tuhuma za Russia kwa ukaribu; jambo ambalo limemuumiza sana Trump. Alitegemea kuwa Attorney General angeingilia kati na kukomesha/kuzuia uchunguzi huo lakini AG naye akajitoa ili kuiacha sheria ichukue mkondo wake. Baada ya uchaguzi wa Novemba AG Jeff Sessions naye is out...I
Inasemekana anaachia ngazi kabla
Vichwa vitatu
Sawa sawaWamemuwinda muda mrefu sana. Yeye ndiye alimteua Mueller kufuatilia tuhuma za Russia kwa ukaribu; jambo ambalo limemuumiza sana Trump. Alitegemea kuwa Attorney General angeingilia kati na kukomesha/kuzuia uchunguzi huo lakini AG naye akajitoa ili kuiacha sheria ichukue mkondo wake. Baada ya uchaguzi wa Novemba AG Jeff Sessions naye is out...