Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahahahaaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana mkuu kuna kaswali furani kadogo ka kiimani. Marafiki zangu mtaani wananichanganya. Nadhani profesa atanipa majibu mujarabu
Napenda mijadala ya kiimani hasa ikifanyika kwa maelewano na heshima bila kutukanana. Hata Kiranga namsomaga na hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu. Sote tu wanafunzi wa kudumu katika dunia hii ati !!!
 
[emoji3] [emoji3] mkuu una tatizo na majoka ya kwenye picha?
Mimi majoka sina shida nayo kabisa. Usukumani huko napishanaga nayo tu kawaida. Kuna watu hapa walishawahi kutoa dukuduku lao zamani kuwa huwa yanawatisha na yakianza tu kuwekwa basi ni lazima wakimbie kwanza. Ila siku hizi naona walishazoea [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…