cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ni kawaida sana, unaenda ku join na staff wenzio mbonaUnajua haka ka wiki chote nilikua hom nimepumzika sasa kesho kibarua kinaita
Ukitaka habari za Jakitoo mkuu niulize mimi [emoji23][emoji23][emoji23]Jakitoo
AsantePole kaa na maji karibu
Msamaha wako tuKwa hiyo nimsamehe?
Kuna mida alionekana nahisi atakua kabanwa leoJakitoo
Nakupenda sammyluvUnanipenda?
Usibishe, nilikusikiaDoooh
Unapaliwa wakati unakula au unakunywa? Yote ni mema. Wasukuma tunaamini kwamba ukipaliwa wakati unakula au unakunywa maji ni dalili njema!Leo napaliwa kweli sijui kwanini
[emoji83] [emoji83] agghrr...swali gani tena hilo?Unanipenda?
Msamaha wake tu[emoji116] [emoji116] mbona kashakubali wewe tu kazana hapo
Hahahhajaj pole kijanaAnajua uniq
WapUsibishe, nilikusikia
Ndio nampenda[emoji116] [emoji116] jibu swali huko