Matokeo kama ulivyosikiaUEFA
10:4822:16
People make time for who they want to make time for.
Kutoa na kupotezaKupokea Na kutoa.
Nishasahau haya mambo
Hunipitishi hapo aisee 😀😀😀😀Kisu kuchana makalio
Chibuga alisema mungu mwingine anayeabudiwa na wakazi wa Nyamalulu anaitwa Imbandam ambaye wakazi wanamuamini kuwa ana uwezo wa kubaini wasiokiri makosa yao.
Lakini njia ya kumtumia mungu huyo kupata mkosaji ni ile ya wanajamii kupakwa dawa na kupitisha makalio yao kwenye kisu bila ya kuvaa nguo.
“Asiyehusika atatoka salama lakini mkosaji hukatwa na hivyo kufichua uovu wake mbele ya umma,” anasema Chibuga.