[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Likianzishwa jukwaa hilo, ukomo wa kuishi kwa furaha utakuwa umenifika.
Bila kuwachungulia mabinti matinginyiko yao kwa masaa matatu nakosa raha kabisa. Ahueni yangu ni kwenye minada, napenda sana kupishana na mabinti walio jaaliwa kwenye msongamano wa watu.
Yaani tusuguane tu (kwa mbele kwangu na kwake au kwa mbele kwangu na nyuma kwake) basi, moyo wangu kwaaatuuu...
Niseme tu hiyo Forum ikianzishwa sijiungi, nabaki huku huku
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mimi siyo Mhaya mkuu. Wahaya bila shaka watakutafsria (kwa usahihi zaidi). Kaisiki msaada wako unahitajika huku please...
Kwa kukisia tu; na kwa vile Kihaya ni lugha ya Kibantu, mzizi wa hilo neno ni mahanga yaani mataifa, mtu wa nje, wa kabila jingine...
Mnyamahanga nadhani hao watani wangu Wahaya walikuwa wanamsema Frank kuwa siyo mwenzao, ni mtu wa nje, wa kabila jingine. Neno hilo bila shaka lina connotations mbaya kuwa huyo Mnyamahanga pengine ni mtu duni, asiye msomi kama sisi n.k. Watani zangu hao wana kaubaguzi baguzi hivi na kujiona sana kuwa wao wamesoma sana (jambo ambalo ni kweli) na hivyo ni bora kuliko wanyamahanga....
Nadhani neno hili Mnyamahanga lina connotations mbaya sawa na chasaka kwa Wachaga.
Kama nimekosea samahani...This is just my wild guess...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Wanaume ni wapishi[emoji1465][emoji505] wazuri tu katika jamii..... Hivi fikiria [emoji848]*
*Mayai mawili 🥚🥚....Ndizi moja [emoji529] ...na Maziwa kwa mbalii🥛......Inawafanya wanawake wahangaike miezi tisa🤰🏽......Anaye bishana na upishi huu anione [emoji395] [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]*
Hapa uongozi ni kufa na kupona, watu wanauza lasrimali zao ili kuupata uongozi,Halafu unajua siri yao ni nini? Kugombea tu uongozi kwanza inabidi uwe tajiri au uwe na vyanzo vya mapato vya kueleweka. Uongozi kamwe haupaswi kuwa source ya mapato yako. Ndo maana kakosa kadogo tu unaona mtu keshajiuzulu. Siyo kama sisi huku uongozi ndiyo sehemu ya kutajirikia. Au tunaota ndoto za kutokomeza rushwa. Thubutuuu !!!
Yaani mniacha mbali sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] ntawaroga subirini [emoji849]
Asante ProfesaKATIKA ASILIMIA 100 YA WATU UNAO WAFAHAMU KUNA WANAOKUPENDA NA WASIOKUPENDA.
......
1. Asilimia 33 ya kwanza ni watu watakaokupenda wewe bila sababu yoyote.
Watu hawa watakupenda tu bila ya kujali ukoje na una nini hata kama ukipata tatizo daima watakuwa upande wako.
2. Asilimia 33 ya pili ni watu wanaokupenda wewe kwa sababu fulani mfano mali, kazi , cheo , tabia , uzuri wako n.k Tabia ya watu hawa ni kwamba upendo wao kwako unavutwa na sifa au kitu au vitu ulivyonavyo. Pia ni watu ambao kama ukiweza kuwashawishi wanaweza kukupenda sana. Lakini endapo sifa au kitu kile walichokupendea kisipokuwepo hawawezi kuwa na wewe tena mfano pesa na mali.
3. Asilimia 33 ya mwisho ni watu wasiokupenda au wanaokuchukia wewe bila ya kuwa na sababu yoyote. Watu hawa hata ufanye nini kwao huwezi kuwafurahisha zaidi ni kwamba watakuonea wivu tu na kusema kwamba unaringia mali au sifa yako. Hawa watu usiangaike nao kabisa. Zaidi ni kuwaombea tu maana hawajui walitendalo.
.....
4. Asilimia 1 iliyobaki ni wale watu ambao hawajui au hawana uhakika kama wanakupenda au wanakuchukia. Watu hawa mara nyingi ni wale wasio na msimamo kwako. Leo anaweza kuwa rafiki mzuri sana kwako lakini kesho akawa adui pia. Usiwaamini sana pia.
....
CHA KUFANYA AU CHA KUJUA HAPA NI KWAMBA SIO WATU WOTE WATAKUPENDA HATA KAMA UTAFANYA MAZURI KIASI GANI. CHA MSINGI WEWE ISHI MAISHA YAKO BILA KUMWANGALIA MTU YOYOTE KAMA ANAKUPENDA AU LAH .ILA CHA MSINGI TUNATAKIWA KUWAPENDA WOTE KWA MAANA MUNGU AMETUAGIZA TUWAPENDE WOTE HATA MAADUI ZETU TENA TUWAOMBEEE.
Habari yako Tumosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama za ww moudHabari yako Tumosa