Something went wrongLiverpool, kasi ile ya mwaka jana mepungua sana.
Wanasema ili ujue raha/ utamu wa ngoma ingia UICHEZE.NI WAZO TU
Wewe ni Msomi mwenye Digrii,na Ulipata GPA 4.6 ukiwa unajua GPA ni dili lakini ulizunguka 2YEARS bila kazi mpaka ulipodaka Kibarua hiki cha Benki ukiwa kama LOAN OFFICER,na wakakupa Mshahara wao wa 750,000 Kwa Mwezi...Baada ya Mwaka Mmoja ukajihisi UNA HADHI huna haja ya kurukia Daladala kama wengine,ukajibandika KAMKOPO KA PASSO ambako unakatwa LAKI4 Kila Mwezi na unabakiza 350,000 inayoenda Mfukoni kila Muamala Ukisoma...
Pale Chini ya Ghorofa la Ofisi unakofanya kazi yuko Kijana,Mchafu Mchafu,ANAOSHA MAGARI,na kila "MABOSI" mkifika wote mnamuachia Funguo za Magari yenu ya Mikopo Awaoshee...Mtaji wake ni KOPO LA FUNGUO,SABUNI,na MAJI anayochota kwenye Kimtaro karibu tu na mnakopaki gari zenu..
KWA SIKU anaosha MAGARI 30,ya Mabosi Nyinyi kwa Shilingi 3000 kwa Kila Gari...Anakula Wali Maharage Kibandani kwa Sh 800 tu wakati WEWE na "HADHI YAKO" unaenda kula YMCA Canteen,IFM Restaurant au KFC,ili Kulinda Hadhi ambayo Actually HUNA!
Mshahara ukitoka,wewe una 350,000 Mfukoni,ila Kijana huyu Mchafu Mchafu anayekula kwa Mahesabu,ambaye sometimes kwa kuona ANA HALI NGUMU huwa unamuachia hata CHENJI imsaidie,Anatengeneza Sh 3000x Magari 30 x Siku 30 =2,700,000(Milioni Mbili na Laki Saba Kwa Mwezi,NON TAXABLE!
Tai Kubwa,Viatu Vimeenda Upande,Mkopo wa Gari,HELA HAITOSHI,ila TITLE KUBWAAAA Ofisini unazunguka kwenye Kiti,Kila Siku una STRESS na unashangaa huyu kijana ANASMILE KILA SAA na Kukusalimu "Shkamoo Bosi" na unajiuliza Huyu Maskini Mbona Ana Raha Kila Siku na Mimi Majanga??
NANI MASKINI KATI YENU???
NANI BOSI WA KWELI???
Wake Up Brother/Sister,Find a Plan B for Your Life,Huwezi Kuwa Mjinga Milele na Ukaamua Kutulia tu...Unalipwa Laki 4 TANzania Hii,HUJALA,HUJALIPA KODI,HUJANUNUA UMEME,HUJAHONGA,HUJAZUNGUSHA RAUNDI ZA BIA,na HUNA KIPATO KINGINE ZAIDI YA AJIRA lakini Unahisi UKO SAWA TU,Nenda kapimwe Utaahira!
Dear Loan Officer,You need Another Loan to Buy BRAINS!
NIMEIKUTA MAHALI,,, INAFUNDISHO NDANI YAKE.
Kufanya vitendo ndio ngomaWanasema ili ujue raha/ utamu wa ngoma ingia UICHEZE.
Kuandika ni rahisi sana.
*Kisa kifupi*
*Kuna shekhe alikuwa akitembelea mashambani akiwa na mwanafunzi wake* *wakaona viatu vilivyozeeka sana* *wakasema! bila shaka ni vya mmoja wa mafukara wanaofanya kazi humo*
*mwanafunzi akasema kumwambia shekhe! unaonaje tuvifiche viatu hivi na sisi tujifiche ili tuone mwenyewe akija avikose atafanya nini?* *Shekhe akamwambia tusijifurahishe kwa huzuni za wenzetu*
*wewe ni kijana tajiri unaonaje umuwekee pesa katika viatu vyake kisha tujifiche tuone itakuwa nini mara atakapofika?*
*kweli yule kijana alikubali akafanya hivyo!*
*aliweka pesa kisha wakajificha*
*jamaa hakuchelewa akatokea, akapitisha miguu yake kuvaa viatu akaona katika kiatu cha kwanza kuna pesa! akapitisha mguu wa kiatu cha pili, vilevile akaona pia kuna pesa akapigwa mshangao sana, na kuhakikisha sio ndoto*
*akaangalia kila upande haoni ntu yeyote, akapiga magoti akaangalia mbinguni kwa sauti kubwa ameinua mikono yake akisema!*
*nakushukuru Mola wangu! ambae ni mjuzi wa kujua tuliyonayo katika maisha yetu!*
*mke wangu mgonjwa yupo kitandani, watoto wangu nimewaacha nyumbani wakilia njaa hakuna chakula*
*hakika umewaokoa watoto wangu katika kuangamia*
*jamaa akaendelea kulia kwa muda mrefu hali anamshukuru Mola wake kwa ukarimu huo aliomfanyia*
*yule mwanafunzi jambo hili likamwingia sana akajawa na mengi kichwani kwake, wakati walipokuwa yeye na shekhe wakiangalia jinsi huyo jamaa akishukuru neema kwa sauti na huku akilia*
*akamgeukia shekhe! nae akamwambia* *umeona vipi* *sasa*?
*huoni furaha kuliko ulivyotaka kumfichia viatu vyake?*
*Mwanafunzi akajibu hakika leo nimepata funzo kubwa sana sitasahau maishani mwangu, nimejifundisha kuwa tusijipe raha, nafsi zetu kuzifurahisha kwa kuwakanyaga waliokuwa dhaifu*
*Wewe mwenzagu pokea funzo hili kamwe tusijifurahishe kwa dhiki za wengine*
*jifundishe kutoa kwa ajili ya wengine upate raha ya moyo wako na kipato chako kuongezeka*
*je ni nani atoae kisha akaona live sadaka yake imepokelewa na Mwenyeezi Mungu na asihisi furaha kwa dua anazozisikia akiombewa?*
*Tusisahau Mungu yupo anaelipa kwa unachokitoa.*
*Tudumu kutoa sadaka*
"Dadii lala utaumwa"Mwanamwali
Nilimwona akinijia
Katika ukungu wa fikra kavu
Na manyunyu ya upendo wenye madoa
Katika asubuhi ile nyekundu
Mwendo wake ulikuwa wa tahadhari sana
Alionekana kama anatembea juu ya mayai
Au mawingu mazito yenye matobo
Akija na kwenda kama hanijui
Kwa nini bado hajafika?
Ni kweli yungali akija?
Wanauzi mkionana naye mwambieni...
Bado namsubiri........
-SYB (JF)
7/10/2018