Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

True
 
Huwa namtumia Mwalimu kama mfano wa ile dhana kwamba katika dunia hii huwezi kufanya jambo kubwa peke yako bila ushirikiano na wengine. Hakuwa na mfuasi wa kweli hata mmoja na wengi waliokuwa wamemzunguka mpaka hata wanafunzi wake aliowalea na kuwakuza akina Ben walikuwa siyo wafuasi halisi. Wamekuja kupata nafasi tu basi wakageuka wapigaji.

Hebu fikiria kama angekuwa na wafuasi wa kweli angalau watano hivi katika ngazi za juu huko serikalini. Pengine angeweza kufanikiwa kwa kiasi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…