Kwenye mapenzi hutakiwi kuwa jeuri [emoji23]Unaniona Online afu unasubiri mpaka nianze kukutext ndio uamini nakupenda..
Kuna wengine hatujawahi kuzima data 24/7 labda simu iwe haina chaji...
Earthquakes hupimwa kwa kutumia kipimo cha Richter na huanzia 1 mpaka 10. Earthquake yenye nguvu kabisa katika rekodi ni 9.5 iliyopiga huko Chile mwaka 1960. 10 kamili haijawahi tokea...Hahaha, umevotaja categori zza hayo majanga nimekumbuka wakati nasoma kuna category ya earthquake inataka kuwa na jina kama hilohilo CATASTROPHE nini nini sijui, hiyo ikipita haibakizi hata mlima ina fyeka kila kitu..ndiyo earthquake mbaya zaidi kabisa, sidhani kama imeshawahi kutokea....sikumbuki vzr
Hapo kulia hapo....
Desemba nitakuwa huko Mungu Akipenda. Chuo Kikuu cha Zanzibar kwa miezi 6...
Desemba nitakuwa huko Mungu Akipenda. Chuo Kikuu cha Zanzibar kwa miezi 6...
Haha hKwenye mapenzi hutakiwi kuwa jeuri [emoji23]
Kwanini usimwambie huko huko alikokutext????
Mwanaume unatakiwa kuwa na kifua cha kuhifadhi mambo...
Na ninavyoyapenda. Yatanikoma !!!Karibu sana ukija utakula maembe maana ndio msimo wake kipindi cha joto.
Hawa ni pacha! And Ofcoz kulia imekaa njemaHapo kulia hapo....
They pick and choose....Usawa kwenye baadhi ya mambo tu .Haha h
Nimepost tuu hainihusu mimi.
But siipendi sana hiyo ''mwanaume unatakiwa'', why not women.?
Safi sanaNdio [emoji3][emoji3]
Weraaa[emoji16]