Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimebarikiwa sana na ujumbe huu mpendwa. Natamani kama ningekuwa na hata robo tu ya imani kama ya Heratio. Mungu Akubariki kwa kutushirikisha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
hatujapata maelezo kutoka kwa wasemaji...bado tunasubiri
Hii haipendezi kabisa aisee....

Angekuwa keshapatikana, yule mwana mteule mpenda sifa angekuwa keshaitisha press conference.

Na kwenye hizi ishu za kutekwa, kila muda unavyosonga ndiyo uwezekano wa mtu kupatikana akiwa hai unazidi kupungua. Inahuzunisha sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…