Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Michael alikuja na mbwembwe kibao ila huyoo keshaenda zake na maisha yanaendelea...Kwema nashukuru, nipo mkuu, majukumu ya ujenzi wa taifa letu "kongwe" yalitatiza. Poleni kwa mapito ya Michael
Shwari mkuu
Michael alikuja na mbwembwe kibao ila huyoo keshaenda zake na maisha yanaendelea...
Siku hizi mkiondoka muwe mnasema ili tusije tukadhani mmetekwa !!!
Msamiati siyo hoja. Hoja ni sarufi hasa mambo ya inflection, case marking na ishu kibao za Kimofolojia; na hapo hujaingia kwenye fonetiki (matamshi) zile sauti za kutamkia kooni na puani.Ndio lugha rahisi sana kama unajua Kiswahili maneno mengi ya Kiswahili yanatokana Na lugha ya kiarabu.
Tutajuaje kama ninyi ni hohe hahe?Sie hohe hahe atuteke nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msamiati siyo hoja. Hoja ni inflection, case marking na ishu kibao za Kimofolojia; na hapo hujaingia kwenye fonetiki (matamshi)
Hapa tu nilikwama [emoji116][emoji116][emoji116]
Mzizi - ktb - halafu sarakasi zinaanza sasa.
Katiba
Kitabu
Maktaba
Katibu
...na kuendelea.... Huu mchezo wa kupachika irabu kwenye mzizi wa konsonanti ili kupata maneno mbalimbali niligivapu [emoji16][emoji16][emoji16]
Madrasa hapana wallahi uwiiii ila ni kweli. Watoto hujifunza vizuri lugha mpya kuliko watu wazima. Wataalamu wa Isimu Saikolojia wanasema kuwa ukivuka miaka 14 inakuwia vigumu sana kujifunza lugha na kuweza kuiongea kwa lafudhi ya kizawa.Hahahahaha ulikua uanzie madrasa kwanza [emoji1787][emoji1787]
ππ Ule ugali unaokulaga bro unatakakusema haujatoa msaada?Hongera au pole? Mwenzio kidogo nife halafu unanihongeresha? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio shida ya magari makubwa....ππ Ule ugali unaokulaga bro unatakakusema haujatoa msaada?