Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro unamwaga ung'eng'e hadi raha.

Zawadi gani iseme kwanza ndo nifikirie kujaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu ya Manchester United ina mpango wa kumuongezea mkataba wa David de Gea kwa lazima miezi sita mapema kwa kutumia kifungu kilicho kwenye mkataba wake wa sasa, kama goli kipa wa Spain hataafikiana mkataba mpya na klabu hiyo kabla ya mwezi Januari. (Sun)
 
Sikataagi zawadi mimi,we toa hayo ma directions tu uone venye nitachangamka.
Siogopi kitu mimi[emoji23][emoji23]
 
Sikataagi zawadi mimi,we toa hayo ma directions tu uone venye nitachangamka.
Siogopi kitu mimi[emoji23][emoji23]
Saaaafiii kabisa,ila nawe haueleweki ukasababisha tukose samaki wa yego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kunamambo yanatuharibu na kuiharibu Africa.

Ujinga ni adui ambaye Mwl Alimmulika moja kwa moja akadhamiria kupambana nae.

Kitu Mwl. alisahau ni kutueleza Elimu ipi hasa hufuta ujinga completely.

Bahati mbaya Viongozi wetu wamekariri notes wakafauru mitihani, maarifa wameacha vitabuni!
 
...endi vaisi vesa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Halafu hii tabia ya kuongelea makabila sijui imetoka wapi. Mnataka kutambika? Leo ni siku ya Mwalimu Nyerere na mmeamka na nyuzi za kushambulia Wasukuma. Shame !!!
Yaani wasukuma inabidi mzoee tu haya mambo ya kuanzishiwa nyuzi[emoji23]
 
Kuna taarifa kuwa Manchester City walitaka kumlipa mara tatu zaidi ya kiwango anacholipwa kwa sasa mchezaji nyota wa Barcelona na Argentina Lionel Messi, 31, kama angekubali kusaini mkataba nao. (Mundo Deportivo kupitia Sun)
 
Saaaafiii kabisa,ila nawe haueleweki ukasababisha tukose samaki wa yego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Yegomasika mwenyewe haeleweki,we huoni anajipigia pande kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Antonio Valencia anakaribia kuihama Manchester United bila malipo yoyote kutokana na kifungu kilichopo kwenye mkataba wake. Mchezaji huyo Ecuador anaweza kusaini mkataba mpya katika klabu nyingine kuanzia mwanzo wa mwezi machi. (Sun)
 
Golikipa wa Stoke na England Jack Butland, 25 anataka kujiunga na wakala aliyemuongoza Wayne Rooney katika maisha yake ya uchezaji, katika juhudi zake za kutaka kurejea katika Ligi ya Premia.
 
Chelsea imempa kiungo wa Ufaransa N'Golo Kante, 27, mkataba mpya katika juhudi za kutaka kuhakikisha anasalia Stamford Bridge huku akiendelea kutafutwa na Paris St-Germain. (Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…