Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ujeuri wa Kisukuma tu. Alikuwa amezubaa anaangalia Maury "James, you are not the farher" huku mi nakata nywele. We acha tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16]Kama najiona vile....lazima nikuwakie....na yeye alikuwa amelala?
Au ndio na wewe ulionyesha wajua kazi unayoifanya
Bradha, Bradha. Vibaya hivyooo [emoji16][emoji16][emoji16]Siku ukihitaji huduma umcheki.Mimi sitosema sana.
Siku ukihitaji huduma umcheki.Mimi sitosema sana.
Hoja nzito mno ngoja nikuandikieFanya uniambie nikusaidie kupangua
Ujeuri wa Kisukuma tu. Alikuwa amezubaa anaangalia Maury "James, you are not the farher" huku mi nakata nywele. We acha tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Hoja nzito mno ngoja nikuandikie
Kuna maswali mengi sana kuhusu kutekwa kwa Mo sijui wacha tuone muda unavyosonga kuna kitu kinaweza kutokeaSafi kusikia hivyo. Kwa neema ya Mungu Atapatikana akiwa hai na timamu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Japo familia walichelewa kidogo, bilioni moja hiyo bila shaka inatosha kumtoa nyoka pangoni unless kama hao watekaji siyo waswahili.
Nilijifunza somo kubwa sana siku ile. Linapokuja suala linalohusu urembo kwa mwanamke aisee kaa mbali....Tangu siku ile niko mwangalifu sana. Hata akiniambia nibrush wig lake aisee sikubali kwa sababu ukikosea kidogo tu likanyonyoka moto utakuwakia mpaka uombe poo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimekumbuka bcoz nilicheka sana ile siku...
Love can either be created or destroyedSo what is LOVE to you?
Kweli kabisa
For them, it is easier. With a constant throng of men flocking to them; they can choose whoever they want.
Nice songHate me now
Nas escober ft p.didy
AiseeeYou make them possible...
Open that heart and let someone in...don't be scared.
Nahisi siyo ishu za kisiasa. Nahisi ni mambo yanayohusu biashara tena yana-involve pesa ndefu hasa kama kweli watekaji ni watasha kama inavyosemekana.Kuna maswali mengi sana kuhusu kutekwa kwa Mo sijui wacha tuone muda unavyosonga kuna kitu kinaweza kutokea
Love can either be created or destroyed
But it doesn't happen automatically
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] halafu hiyo sura yako leo umefanana na mzee wa liver kweli kweliBradha, Bradha. Vibaya hivyooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Siyo nywele tu. Kila kitu. Siku hizi hata kutumwa kwenda kuleta kitu madukani sitaki unless aniambie specific brand na idadi ijulikane kabisa. Vinginevyo utakosea tu na ukirudi moto utakuwakia...Kosea kote...usikosee kwenye Nywele za Mrembo.....
Utafikiria hazioti tena
Yaani kaka yako ni zaidi ya huyo pro, na wigi atakununulia bure kabisa akishafumua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana....nitalipia tu kwa professional hair dresser....
Kipilipili hiki nimekitunza mwaka wa 10 sasa
First n foremost you must learn to love the God i love and serve.and live up to the same values n standards that i live up toNasubiria
Love is optional it's not basic needsThen give your self "the time" to be in love...dont give up easily