carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yaani bro ako hapa alikofikia ni maombi tu yatamuokoa,hakuna njia nyingine[emoji23]Wapiga kibuti wenyewe hawa sidhani kama wana huruma [emoji16][emoji16][emoji16]. Bro wangu mpole ataendelea tu kupata taabu sana !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha uoga wewe.Haya ishia hapohapo, hahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo sasaKina kalumanzila sijawahi kuwaamini, yaani hali zao zilivyo washindwe kuivuta bilion 1 kwa ajili yao wanisaidie mimi kwa gharama ya kuku mwekundu?
Kweli?[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Haya usihofu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naona unajizungumzia
Wanazinguaga sana hawa wenzetu we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16]Halafu inaelekea ulikuwa unasubiri mgegedo naona ukaisi unachelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa ishu ya mo tunahitaji mwekunduWale huwa wanahitaji rangi nyeupe bwana
Uwe unajibu ata text zangu bhasi sio unakausha moja kwa moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana unahitaji maombi kwakweli,hali yako ni mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23], mwekundu mwiko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa ishu ya mo tunahitaji mwekundu
Creation is quiet? Big Bang is quiet?