Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,312
Mkuu nipe namba numuulize hilo dafu kanunua wapi?
Usihizi ndio uhalisiaHuu Uzi nahisi unaongoza kwa kua na comments nyingi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume (wa mikoani) kula chakula cha aina hii ni umama [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 900263
Billioni moja kwa kweli si mchezo naona hataa IGP anazitamaniChezea 1 billion.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anafanya uchunguzi wa chini chini.Billioni moja kwa kweli si mchezo naona hataa IGP anazitamani
Hivi ile mikono inayompapasa Mondi ni ya boss lady ama ???[emoji23]Unajikaushaaaa ka si wewe vileeee. Wiki hii na iliyopita mbaya kwa wala ubuyu yaan kila kona ni MO tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni ya bosslady ni throwback ile,maana saiv yupo busy na kazi ya kesho na baba ake beyonceHivi ile mikono inayompapasa Mondi ni ya boss lady ama ???[emoji23]