Huyu naye. Ndo maana wanamsemaga kuwa ni mchele mchele [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hata mashine za kwenye airport mpya zinazofungwa sasa zinaona kila kitu mpaka saizi ya mjurubeng. Wamezipigia makelele weeee lakini zinaendelea kufungwa tu kwenye viwanja vya ndege.Hii nilishaisikia, hizi camera ziliona mengi kwakweli.
Pointi yangu nzuri lakini eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shwaini kabisa.