3D Printing sasa watu wanaweza kuprint pisto majumbani mwao na blue print tayari zimeshatolewa mtandaoni. Tatizo ni kwamba bunduki hizi ni plastiki na hazionekani kwenye mashine za kawaida. Ndo wamekuja na hizi mpya zinazoonyesha kila kitu.
Watetezi wa haki za binadamu na mambo ya privacy wamepiga makelele sana lakini zimefungwa kwenye maairport makubwa. Kwa sasa kuzitumia ni optonal ila wakikutilia shaka basi lazima upitemo au uahirishe safari. Mpaka zinaonyesha huko bustanini kuna hali gani kama kumepaliliwa ama la. Hata wanawake hawazipendi kwa sababu nao zinaonyesha kila kitu...